GET /api/v0.1/hansard/entries/926319/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 926319,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/926319/?format=api",
"text_counter": 16,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mwatate, ODM",
"speaker_title": "Hon. Andrew Mwadime",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": " Asante sana, Mheshimiwa Spika. Kwa kweli, ule wembe Mheshimiwa Jessica Mbalu anapitia ndio huo huo ambao unatunyonga katika sehemu za Taita Taveta. Hata akitaja Mtito Andei, mimi nafahamu kuwa Mtito Andei iko Taita Taveta. Kwa kweli, nimelalamikia sana hili suala la wanyama. Masuala ya kutatua hili tatizo… The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}