GET /api/v0.1/hansard/entries/926869/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 926869,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/926869/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Nachukua fursa hii kutuma risala zangu za rambirambi na watu wa Laikipia kwa mwenda zake, Gavana Laboso and mwenda zake, mhe. Ken Okoth. Jambo la kuvunja moyo ni kwamba wote waliathiriwa na ugonjwa wa saratani. Sisi tuliobaki, tunafaa kujiuliza ni nini tunaweza kufanya kupigana na janga la ugonjwa wa saratani. Ugonjwa wa saratani umekuwa kizungumkuti kwetu sisi."
}