GET /api/v0.1/hansard/entries/926871/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 926871,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/926871/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Lusaka",
    "speaker_title": "The Speaker",
    "speaker": null,
    "content": " Sen. Kinyua, ningependa kukujulisha kwamba kuna mswada wa ugonjwa wa Saratani ambao utajadiliwa kwa undani baada ya kutoa rambirambi zetu. Usijadili ugonjwa wa saratani kwa undani sasa hivi kwani tutajadili kwa undani Mswada huo."
}