GET /api/v0.1/hansard/entries/926874/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 926874,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/926874/?format=api",
"text_counter": 120,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, sikuwa nimekutana na mwenda zake, Mbunge wa Kibra, lakini kutokana na yale nimesikia kumhusu, alikuwa mtu aliyefanya kazi yake kwa kujitolea. Alikuwa mtu aliyependa kutabasamu kwani alikuwa mtu wa furaha. Ni vyema sisi kama viongozi kujifunza kwamba mtu anapopewa jukumu, anatakiwa kulitekeleza kwa umahiri mkubwa. Sina mengi ila kusema kwamba Mungu azilaze nyoyo zao mahali pema peponi."
}