GET /api/v0.1/hansard/entries/926907/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 926907,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/926907/?format=api",
"text_counter": 153,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, wakati huu tunapoomboleza vifo vya viongozi wetu, singependa kumuingilia dada yangu, lakini umeyasikia matamshi yake hapo awali, kwamba aliyekuwa Waziri Mkuu, Bw. Raila, hakufanya chochote kwa miaka 20 aliyowakilisha Kibira na kwamba huyu marehemu tunayeomboleza alifanya mengi kwa muda mfupi? Je ni sawa kwa yeye kusema maneno kama hayo? Standing Orders zetu hapa haziruhusu mheshimiwa kumkashifu mtu ambaye hayuko ndani ya Bunge hili."
}