GET /api/v0.1/hansard/entries/926908/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 926908,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/926908/?format=api",
    "text_counter": 154,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Lusaka",
    "speaker_title": "The Speaker",
    "speaker": null,
    "content": " Nafikiria hayo yalikuwa ni maoni yake tu, kwamba alikuwa akilinganisha utendajikazi wa hao watu wawili. Pengine anaona huyu amefanya kazi nzuri kwa muda mfupi. Si kumaanisha kwamba yule aliyekuwepo hakufanya chochote. Nafikiria ni maoni yake tu."
}