GET /api/v0.1/hansard/entries/927416/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 927416,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/927416/?format=api",
"text_counter": 322,
"type": "speech",
"speaker_name": "Baringo South, JP",
"speaker_title": "Hon. Charles Kamuren",
"speaker": {
"id": 1202,
"legal_name": "Charles Kamuren",
"slug": "charles-kamuren"
},
"content": "wanafanya biashara hii wanajulikana, mbona wasishikwe? Hiyo ni kusema kwamba wale ambao wanawajua hawa, ambao ni wa Serikali, wanakulia biashara hii. Kwa sababu ni biashara, hawawezi kuharibu biashara yao. Kwa nini inachukua muda? Tuko na askari na Serikali. Hii ni nini?"
}