GET /api/v0.1/hansard/entries/927418/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 927418,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/927418/?format=api",
    "text_counter": 324,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Baringo South, JP",
    "speaker_title": "Hon. Charles Kamuren",
    "speaker": {
        "id": 1202,
        "legal_name": "Charles Kamuren",
        "slug": "charles-kamuren"
    },
    "content": "Ninashangaa kwamba maeneo bunge saba jirani ya eneo Bunge la Tiaty yanalia kwa ajili ya Tiaty. Yaani hii Tiaty imeshinda nchi hii na Rais wa Kenya? Hii legacy Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta atawacha ya Big Four Agenda ni Big Four Agenda kwa sisi wengine tuuawe? Hii si haki. Tunataka fidia kwa watu wetu. Tunataka shule ziendelee vizuri. Tunataka barabara ziendelee vizuri. Hawa wakora wameingia katika eneo bunge langu wakati huu wa census ambayo inakuja. Ninaomba warudi kwao. Hatutakubaliana na tabia kama hii na hatutaruhusu tabia kama hii na huyu Mheshimiwa kutoka Tiaty ambaye anajifanya yeye ni mzuri. Ni mkaidi mkubwa na ni lazima ijulikane katika nchi hii kwamba huyu ndio mkora mkubwa zaidi. Tumepata shida zaidi wakati alichaguliwa kuliko wakati alikuwa hayuko."
}