GET /api/v0.1/hansard/entries/92755/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 92755,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92755/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Baya",
"speaker_title": "The Assistant Minister, Ministry of State for Immigration and Registration of Persons",
"speaker": {
"id": 10,
"legal_name": "Francis S. K. Baya",
"slug": "francis-baya"
},
"content": " Bw. Naibu Spika, ninaomba kujibu. (a) Sina habari kwamba kuna jamii ambazo zilitengwa na hazisajiliwa na kupatiwa vitambulisho. Ni haki ya kila Mkenya kusajiliwa na Serikali anapotoa ombi la kufanya hivyo. (b) Serikali imechukua hatua zifuatazo kuhakikisha ya kwamba jamii za kutoka maeneo kame zimesajiliwa:- (i) Kupatiana fomu na vifaa vya kusajili katika maeneo haya. (ii) Kuelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kujisajili mara tu wanapofikisha umri wa miaka 18. (iii) Kusambaza huduma ya usajili hadi mashinani, yaani tarafa, ili kufikia watu wote wanaohitaji kusajiliwa."
}