GET /api/v0.1/hansard/entries/92758/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 92758,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92758/?format=api",
"text_counter": 121,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Nuh",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 114,
"legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
"slug": "nuh-abdi"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, Waziri Msaidizi amekiri kwamba shida ya usajili iko katika sehemu kame ambazo zina tarafa pana sana. Sababu ya watu kutosajiliwa ni kwamba Wizara yake hupeana fedha chache ambazo zinatumika kununua mafuta ya magari. Katika sehemu kame kuna Vetting Committees na vitambulisho haviwezi kutolewa hadi kikao kama hicho kifanyike. Je, Wizara hii ina mikakati gani kuhakikisha kwamba kuna fedha za kutosha za kununua mafuta ya kuweka kwenye magari ili watu wengi wapate kusajiliwa?"
}