GET /api/v0.1/hansard/entries/92759/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 92759,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92759/?format=api",
"text_counter": 122,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Baya",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 10,
"legal_name": "Francis S. K. Baya",
"slug": "francis-baya"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, tumejaribu kuomba pesa zaidi siyo tu kwa ajili ya kununua mafuta lakini pia kwa magari. Tungekuwa na magari ya kutosha, sehemu hizi zingepata huduma ya kutosha kwa njia rahisi zaidi kwa sababu tungefanya mobile registration. Hii inamaanisha kwamba tungewatembelea wananchi kule vijijini. Ni matarajio yetu kwamba huduma zitasambazwa lakini kwa sasa, kila wilaya na tarafa zinatoa huduma hizi."
}