GET /api/v0.1/hansard/entries/92760/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 92760,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92760/?format=api",
    "text_counter": 123,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mungatana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 185,
        "legal_name": "Danson Buya Mungatana",
        "slug": "danson-mungatana"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, hata bila ya kuongezea Wizara hii pesa, ni kwa nini haishikani mkono na Wizara ya Elimu kusajili watoto wa shule ya upili? Hii ni kwa sababu watoto wa shule ya upili, hasa katika sehemu kame za nchi, wanapomaliza shule huwa wamefikisha miaka 18. Kwa nini jambo hili hamlichukuliwi kwa uzito? Ni kwa nini hamwandikishi walimu wakuu kama gazetted officers ili wawasaidie katika kusajilisha vijana wetu kutoka sehemu kame?"
}