GET /api/v0.1/hansard/entries/92761/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 92761,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92761/?format=api",
"text_counter": 124,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Baya",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 10,
"legal_name": "Francis S. K. Baya",
"slug": "francis-baya"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ijapokuwa walimu wakuu hawajaandikishwa kirasmi kama maofisa wa kusajili watu, bado tunawatumia. Sisi tunawatumia walimu wakuu wa shule za msingi na upili katika shughuli ya kutoa vyeti vya kuzaliwa. Lakini bado hawajaandikishwa kama maofisa. Tunawatumia wao pamoja na machifu."
}