GET /api/v0.1/hansard/entries/92762/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 92762,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92762/?format=api",
    "text_counter": 125,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Ethuro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 158,
        "legal_name": "Ekwee David Ethuro",
        "slug": "ekwee-ethuro"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Umemsikia Waziri Msaidizi akinena kwamba Wizara yake inatumia walimu wakuu katika shule za upili. Ningependa athibitishe kama wamefanya hivyo katika shule ya upili ya Lodwar."
}