GET /api/v0.1/hansard/entries/92763/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 92763,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92763/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Baya",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 10,
"legal_name": "Francis S. K. Baya",
"slug": "francis-baya"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, kwa sasa hivi sijui kama mwalimu mkuu wa shule ya upili anashirikiana na wale maafisa wa kusajili watu kama ilivyo katika sehemu nyingine. Hii inategemea idadi ya watoto. Kama wako na hiyo shida, basi wawe wanawasiliana. Tumesisitiza hii na kazi hiyo inafanywa. Lakini kuhusu Lodwar, sijui vile inavyoendelea kwa sasa."
}