GET /api/v0.1/hansard/entries/92765/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 92765,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92765/?format=api",
    "text_counter": 128,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Baya",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 10,
        "legal_name": "Francis S. K. Baya",
        "slug": "francis-baya"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, kama nilivyosema hapo awali, mipango ipo isipokuwa tu upungufu wa vitu kama mafuta na magari. Kama nilivyosema, tumeomba Wizara ya Fedha itupatie rasilmali ya kutosha ili tutoe huduma hii. Lakini ningetaka kuwaomba wenzangu pia kwamba ikiwezekana watenge pesa za hazina ya Constituencies Development Fund (CDF) ambazo zitatuwezesha kununua mafuta."
}