GET /api/v0.1/hansard/entries/92766/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 92766,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92766/?format=api",
    "text_counter": 129,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Nuh",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 114,
        "legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
        "slug": "nuh-abdi"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Waziri Msaidizi anaifahamu vyema sheria ya hazina ya CDF. Je, analiambia Bunge hili ukweli ilhali anajua sheria haikubali pesa za hazina ya CDF kutumiwa kununua mafuta ya magari yanayotumika katika shughuli za kusajili watu?"
}