GET /api/v0.1/hansard/entries/92769/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 92769,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92769/?format=api",
"text_counter": 132,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Baya",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 10,
"legal_name": "Francis S. K. Baya",
"slug": "francis-baya"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, sijui sehemu ambayo inachukua miezi sita kupata kitambulisho kwa sababu hapa Nairobi inachukua siku 18. Maeneo ambayo yako nje ya Nairobi isipokuwa zile sehemu kavu huchukua siku 28. Zile sehemu za mipakana kwa sababu ya ukaguzi wa hapa na pale, huchukua siku 38 kupata kitambulisho. Lakini ikiwa mhe. Mbunge anajua pahali ambapo pana shida hiyo anaweza kuja ofisini na tutarekebisha."
}