GET /api/v0.1/hansard/entries/92773/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 92773,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92773/?format=api",
"text_counter": 136,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. James Maina Kamau",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 34,
"legal_name": "James Maina Kamau",
"slug": "maina-kamau"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, kuna watu ambao wanasajiliwa lakini wanapoenda kuchukua vitambulisho vyao wanapata haviko tayari. Wanarudi kule mara nyingi mpaka wanachoka. Ukienda kwa ofisi nyingi za DC utapata vitambulisho vingi vinatapakaa kila mahali. Je, kuna mpango gani kuhakikisha kwamba mtu akituma maombi ya kupata kitambulisho anapata kitambulisho chake?"
}