GET /api/v0.1/hansard/entries/928931/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 928931,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/928931/?format=api",
    "text_counter": 203,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Kama kiongozi, tumeona mengi pamoja na Mbunge wangu ambaye ameleta Mswada huu katika Bunge hili kwa sababu ya kazi duni inayofanyika katika kaunti yetu. Ndiposa ni lazima wale wakurugenzi wanaochaguliwa wawe na nidhamu ili wahudumu katika taasisi hizi. Namshukuru tena Mheshimiwa Chris Wamalwa. Kama vile wenzangu wamesema, kuna mambo yatakayorekebishwa tukiingia kipindi cha Mswada Kusomwa Mara ya Tatu."
}