GET /api/v0.1/hansard/entries/929383/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 929383,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/929383/?format=api",
"text_counter": 376,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Tukitumia teknologia ya kuunganisha mgonjwa na daktari, itapunguza foleni ambazo wagonjwa wengi hulazimika kupanga ili kupata matibabu. Kupitia matumizi ya teknolojia, wagonjwa wataweza kuzungumza na daktari popote alipo. Pia, kuna malipo mengi ambayo mtu hulazimika kufanya kabla hata hajapata matibabu. Katika hospitali kubwa, mgonjwa anapoenda kumwona daktari, yeye hulazimika kutoa pesa nyingi. Kufikia wakati unapopata matibabu, mtu huwa ametoa pesa nyingi licha ya kuwa kupata pesa ni shida. Kupitia teknolojia, wagonjwa wataweza kuwasiliana na madaktari katika sehemu zingine. Kuna wakati mgonjwa huenda kumwona daktari kisha akaruhusiwa kwenda nyumbani. Wakati mwingine, mtu hutakikana kurudi hospitalini ili kuchukua majibu ya uchunguzi uliofanywa. Baadhi yao huwa wametoka mbali. Itakuwa rahisi kwa sababu haitamlazimu mtu kuabiri gari ili kuenda kuchukua majibu yake. Hii ni kwa sababu teknolojia itaunganisha wagonjwa na madaktari. Itakuwa rahisi mtu kuzungumza na daktari ili kujua hali yake. Wakati mwingi, tumo katika dunia ya mtandao, na unaweza kuingia kwenye"
}