GET /api/v0.1/hansard/entries/929385/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 929385,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/929385/?format=api",
"text_counter": 378,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "na uangalie. Hata hivyo, wakati mwingine Google itakufanya ukate tamaa, kwa sababu ukijua shida yako, utadhani dunia yako imeisha. Lakini ukiongea na daktari wako moja kwa moja, wakati mwingi madaktari wanakutia moyo. Mgonjwa anatakikana kupata heri njema kwa daktari moja kwa moja. Bi. Spika wa Muda, katika hali hiyo, ninaunga mkono Hoja hii ya teknolojia, ambayo sasa hivi imenawiri katika dunia nzima. Asante, Bi Spika wa Muda."
}