GET /api/v0.1/hansard/entries/930454/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 930454,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/930454/?format=api",
    "text_counter": 171,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bura, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Wario",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Sio hivyo tu, hii Kamati imeweza kutayarisha ripoti ya kujadili kipengele baada ya kingine na kutathmini faida na hasara ya pendekezo la kuibadilisha hii sheria. Lengo kubwa la kubadilisha hii sheria ni nini?"
}