GET /api/v0.1/hansard/entries/930455/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 930455,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/930455/?format=api",
    "text_counter": 172,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bura, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Wario",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Ilivyo hali kwa sasa, jambo la kuchunguza hali ya ukame liko katika sheria za halmashauri hiyo. Lakini kuna pendekezo la washikadau na wafadhili ambao wanataka rasilimali wanazotoa zisimamiwe na PFM Act. Huu ndio msukumo mkubwa, ili wafadhili wapate hakikisho kwamba usimamizi wa rasilimali zao uko chini ya PFM Act badala ya sheria ya Halmashauri ya Taifa ya Kuchunguza Hali ya Ukame. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}