GET /api/v0.1/hansard/entries/930460/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 930460,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/930460/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bura, JP",
"speaker_title": "Hon. Ali Wario",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika, Kipengele cha saba cha Katiba ya Kenya na Kanuni za Kudumu 77 zinatambua Kiswahili kama lugha ya taifa. Tunaomba Bunge litafsiri Kanuni za Kudumu kwa Kiswahili maana wanaozungumza Kiswahili wanatatizika kutafsiri kutoka Kiingereza hadi Kiswahili. Hii ni kwa sababu Bunge limetunyima fursa. Naunga mkono mpaka Bunge litakapotupatia kanuni kamili."
}