GET /api/v0.1/hansard/entries/930540/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 930540,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/930540/?format=api",
    "text_counter": 257,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ya kuchangia Mswada huu. Naunga mkono Mswada kwa sababu halmashauri hii imekuwa ikijikakamua zaidi na imefanya kazi nzuri. Naunga mkono yale Mhe. aliyependekeza kwamba kuwe na kamati na pesa zitengwe kwa sababu ya hili janga. Ningependa kuiambia halmashauri hii kwamba Lamu inahesabiwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}