GET /api/v0.1/hansard/entries/930645/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 930645,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/930645/?format=api",
    "text_counter": 362,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Amri iliyotolewa itafanya makampuni mengi yafungwe. Kule Jomvu kuna makampuni kama vile Roadtainers, Crown Petroluem, Bayussuf na mengineyo. Bayussuf ni moja ya makampuni mashuhuri nchini. Hata Mhe. Kalembe Ndile alifanya kazi katika Kampuni ya Bayussuf. Kama kampuni hiyo ingekuwa imekufa, hatungeweza kumuona Kalembe Ndile kama tunavyomuona leo."
}