GET /api/v0.1/hansard/entries/930646/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 930646,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/930646/?format=api",
    "text_counter": 363,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Tukilazimisha makasha yabebwe na SGR pekee, baadaye wale wanaotumia mabasi wataambiwa waanze kutumia SGR na sio mabasi. Hakika wauzaji mafuta, vipuli na wengineo wataharibiwa biashara zao. Matokeo ni kwamba miji mingi ikiwemo Jomvu, Changamwe na Mlolongo yatakufa. Kwa hivyo, nachukua fursa hii kupinga amri hii vikali."
}