GET /api/v0.1/hansard/entries/933287/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 933287,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/933287/?format=api",
    "text_counter": 77,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Swala la kutolipa wanakandarasi ni swala nyeti sana Kenya. Ile ripoti ya Building Bridges Initiative (BBI) inayokuja, kwa Kizungu inaangazia mambo ya national ethos ama kuwa waadilifu kama Wakenya. Ni kwamba hatuheshimu watu wale wanaotufanyia kazi. Tumepoteza maadili yetu. Kuna wanakandarasi wengi wanaofanya kazi na kaunti na hata Serikali kuu ambao hawajalipwa. Ni kwa sababu ya kukosa maadili ama uadilifu kama Wakenya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}