GET /api/v0.1/hansard/entries/933288/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 933288,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/933288/?format=api",
    "text_counter": 78,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Nikimalizia, ningependa kusema kwamba ile Kamati husika itatupatia jawabu mufti ni kwa nini waliofanya kazi ya kupeana Huduma Namba hawajalipwa, Huduma Namba itatoka lini na wanahitaji Kshs1 bilioni ya nini ili kutuletea Huduma Namba? Ninaomba Kamati ifanye bidii ili tupate jawabu hilo."
}