GET /api/v0.1/hansard/entries/934466/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 934466,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/934466/?format=api",
    "text_counter": 825,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Tumekuwa na watu ambao wamefanya biashara katika nchi za ng’ambo na hata hapa kwetu. Kwa mfano, wakati sukari ilikuwa inatolewa huko nje ikiletwa nchini Kenya, hakukuwa na mikakati. Ndiposa uliona sukari isiyo nzuri imekuwa ikiletwa na inanunuliwa na watu wetu. Sisi, kama viongozi, ni lazima tuuunge mkono Mswada huu kwa sababu utawasaidia watu kule nje. Mimi natoka Trans Nzoia. Unaona saa hii watu wamevuna mahindi lakini kwa sababu hatujakuwa na mikakati mwafaka, utapata watu ambao wanakuja hapa katikati, ambao tunawaita"
}