GET /api/v0.1/hansard/entries/934469/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 934469,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/934469/?format=api",
"text_counter": 828,
"type": "speech",
"speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Nitaongea kuhusu ufisadi katika sehemu kadhaa nchini mwetu. Juzi, niliona ufisadi katika kitengo cha polisi. Tunatakikana tufuatilie na tuone ni nini kinaendelea kwa sababu imefika mahali ni kama mamlaka inatoka kwa askari wetu. Watu wameachiliwa hivyo hivyo na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}