GET /api/v0.1/hansard/entries/934470/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 934470,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/934470/?format=api",
"text_counter": 829,
"type": "speech",
"speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "wanafika mahali wanafanya watakavyo na polisi wanaonekana hawana kazi ya kufanya. Ukiajiriwa kama mfanyakazi, unafanya kazi yako kulingana na mkataba ambao umetengenezwa na mwajiri wako. Hii inalingana na sheria hii ambayo tunabuni katika Bunge hili. Ninajua wenzangu wataiunga mkono. Naunga mkono yale Mhe. Cecily Mbarire na pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Mipango ya Kitaifa wameongea. Ni lazima tuwe na mikakati kama hii ili isaidie nchi yetu. Kwa hayo machache, ninashukuru na kuunga mkono Mswada hii."
}