GET /api/v0.1/hansard/entries/934752/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 934752,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/934752/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Matokeo ya Darasa la Nane yalitolewa juzi. Ikiwa wale ambao wamesoma hawana kazi hadi sasa ilhali Serikali inawafuata kulipa mikopo, tutawafanyia nini wale wanaotaka kusoma? Itatoa taswira mbaya. Ni kama nchi inapigana na vijana wake kwa sababau hawana kazi. Pili, wanafuatwa kulipa mikopo ambayo hawawezi kulipia. Sheria ingebadilishwa ili kuwe na moratorium kwamba wasishurutishwe kulipia mikopo mpaka baada ya miaka kumi wakati wameanza kufanya biashara ama kupata kazi na kujistawisha. Bw. Spika wa Muda, nashukuru kwa kunipa fursa hii. Ningependa pia kukupongeza kwa sababu Maseneta wa Majiji katika Bunge hili ni watatu pekee. Kuna wewe, mimi na Seneta wa Kisumu."
}