GET /api/v0.1/hansard/entries/934775/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 934775,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/934775/?format=api",
    "text_counter": 221,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "kusema kwamba ataendelea kulipa mkopo huo, kuna umuhimu wa watu kama hao waambiwe ya kwamba watalipa deni mara moja ili pesa ambazo zitapatikana zitatumiwa kugharimia masomo ya wanafunzi kutoka familia maskini ambao hawajiwezi. Ni aibu kuona ya kwamba wewe uko katika Bunge la Jamhuri ya Kenya na bado unaendelea kulipa pole pole mkopo wa chuo kikuu."
}