GET /api/v0.1/hansard/entries/934954/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 934954,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/934954/?format=api",
    "text_counter": 400,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bi Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili pia mimi niweze kuiunga mkono Ripoti hii iliyo na maendeleo ya nchi zote za Jumia ya Madola katika taratibu zao za kuendesha mkutano ambao ulifanyika Kampala, Uganda. Mambo yaliyozungumzwa katika mkutano huo yalikuwa mengi, haswa ikijulikana ya kwamba, taratibu na utendakazi wa bunge zote ambazo ziko katika Jumuia ya Madola; yaani Commonwealth countries ambazo taratibu zake zote katika ulimwengu huwa sawa. Ukiangalia nchi ambazo zilitawaliwa na Mwingereza kama vile Kenya, Uganda na Tanzania, taratibu za utendaji kazi ni sawa."
}