GET /api/v0.1/hansard/entries/934956/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 934956,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/934956/?format=api",
"text_counter": 402,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Mkutano huu uliongea juu ya mazingira ya nchi katika Jumuiya za Madola. Tumeona ni ukweli katika hii Ripoti kwamba sintofahamu nyingi sasa zinaelenda. Msimu ambao si wa mvua sasa umekuwa wa mvua. Msimu ambao watu hawafi katika mito mikubwa wakati masika, sasa wanakufa maji. Maji yanaenda kwa fujo muno na kufagia udongo unaofunika nyumba mabondeni. Kumekuwa na majanga mengi sana kulingana na Ripoti hii. Itakuwa heri kama Bunge la Seneti na Bunge la Kitaifa litaunga mkono Ripoti hii."
}