GET /api/v0.1/hansard/entries/934959/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 934959,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/934959/?format=api",
    "text_counter": 405,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, naunga mkono kwa dhati Ripoti hii ambayo imeletwa na Sen. Faki, 001, wa Kaunti ya Mombasa. Ripoti hii ni ya kufana sana na ni nzuri. Ninaiunga mkono ili Bunge letu liweze kutekeleza wajibu kulingana na Ripoti ambayo imewekwa kinaga ubaga mbele ya Bunge hili."
}