GET /api/v0.1/hansard/entries/935923/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 935923,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/935923/?format=api",
    "text_counter": 44,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuwakaribisha waheshimiwa wa Bunge la Trans Nzoia. Karibuni sana katika Seneti. Kama mnavyojua ni jukumu la Seneti na pia nyinyi waheshimiwa kuangalia kama pesa za kaunti zinatumika vilivyo. Tungetaka nyinyi muwe macho kabisa kuhakikisha pesa hizo zinatumika vizuri. Tuko pamoja nao katika shughuli tunazofanya katika kaunti. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}