GET /api/v0.1/hansard/entries/935924/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 935924,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/935924/?format=api",
    "text_counter": 45,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Sisi huambiwa na wakubwa katika kaunti zetu kwamba hatufanyi kazi yoyote kama Maseneta. Sisi hupigania rasilimali nyingi zipelekwe katika kaunti zetu. Jambo ambalo ningewaomba waheshimiwa kutoka Trans Nzoia ni watuunge mkono sisi katika jukumu hili kwa vile sisi ndio jicho lao na wao ni jicho letu kule mashinani. Tunaowamba wasimame imara kwa sababu kama si wao mara nyingi pesa zinafujwa na magavana katika kaunti zetu. Mwisho, ninawakaribisha tena katika Seneti. Sisi na wao tunafanya kazi pamoja nao."
}