GET /api/v0.1/hansard/entries/936306/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 936306,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/936306/?format=api",
"text_counter": 9,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa fursa hii. Naungana nawe kuwakaribisha wenzetu, hasa hawa majirani kutoka Kaunti ya Nyandarua. Karibuni muone vile tunavyo tekeleza mambo katika Seneti. Seneta was Nyadarua, Mhe. Mwangi, ni mkakamavu anayepiga mijadala hapa kwa njia ya weledi na uadilifu. Ni mtu aliye jitolea kabisa na anasema maneno yalivyo bila kusita sita. Bw. Spika, naungana nawe kwa kuwakaribisha sana waweze kuona tunavyo endeleza mijadala hapa."
}