GET /api/v0.1/hansard/entries/936308/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 936308,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/936308/?format=api",
    "text_counter": 11,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Haji",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 26,
        "legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
        "slug": "yusuf-haji"
    },
    "content": "Asante sana Bw. Spika. Nakushukuru kwa kuwakaribisha wageni wetu. Nilipelekwa Nyandarua mwaka wa 1975 kama Mkuu wa Wilaya. Jina “Haji” lili pata huo umaarufu kutoka kwa watu wa Nyandarua. Ni watu wazuri sana ambao tumesikizana. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}