GET /api/v0.1/hansard/entries/936309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 936309,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/936309/?format=api",
    "text_counter": 12,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Haji",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 26,
        "legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
        "slug": "yusuf-haji"
    },
    "content": "Nakumbuka kila mara nilipotaka kupelekwa uhamisho kikazi walikuwa wakimwambia Mzee Moi: “Hapana, huyu atatoka hapa tuu kama atakuwa Mkuu wa Mkoa.” Mwishowe nikawa Mkuu wa Mkoa kule Mombasa."
}