GET /api/v0.1/hansard/entries/937035/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 937035,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/937035/?format=api",
"text_counter": 363,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "masuala ya Tume ya Wafanyikazi waUmma hapa nchini zitupiliwe mbali kwa sababu hawakufuata mwafaka ambao unatakikana. Vipengele katika Katiba yetu vinaelezea wazi umuhimu wa kuhusisha umma kwenye masuala yote ambayo yanahusu wananchi na haswa masuala ya huduma kwa wananchi."
}