GET /api/v0.1/hansard/entries/937416/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 937416,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/937416/?format=api",
"text_counter": 314,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Kwa hivyo, yale matatizo yote tunapata saa hii na wale ambao walitutangulia bado wanafuatwa, hata kama pengine ni kwa kiwango kidogo. Sasa kama walitoka hapa na hawakuangaliwa vizuri, hii inaleta matatizo zaidi. Wengine mpaka hukimbia, kuhama miji na kukaa sehemu zingine. Wanakaa mafichoni na kujificha. Kwa hivyo, Mbunge akiwa hayuko mamlakani angalao ile hadhi yake iwe inapendeza. Haipendezi na kukufurahisha kumwona Mbunge pengine amefunga kioo cha nyuma cha gari na mfuko wa nailoni. Huwa inaogopesha sana ukiona mambo kama hayo."
}