GET /api/v0.1/hansard/entries/937417/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 937417,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/937417/?format=api",
"text_counter": 315,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Kwa hivyo, ni vizuri waangaliwe ndiyo wasiaibishe Bunge. Yule Mbunge anapaswa kuwa na pesa kidogo ya kumshikilia yeye na familia yake ili kutimiza matatizo madogo madogo. Pia, pengine mawazo mengi huleta magonjwa. Kwa hivyo, hii pesa inaweza kumsaidia ndiyo ajisukume. Naunga mkono waangaliwe vizuri na kuwe na mipango mizuri. Ahsante kwa aliyeleta Mswada huu."
}