GET /api/v0.1/hansard/entries/937776/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 937776,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/937776/?format=api",
"text_counter": 324,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "atakuwa na haki ya kutafuta haki katika mahakama, na mahali pengine ambapo haki inapatikana. Kwa hivyo, Mswada huu utachangia pakubwa ile ari ya Wakenya kutatua matatizo yao kwa njia ya usalama bila matatizo. Tayari tuko na sheria ya Usuluhishi; yaani Arbitration Act, ambayo inatumika katika maswala haya. Lakini sheria hiyo suluhishi haipatikani kwa watu wengi sana, kwa sababu matatizo mengi huwa hayana mikataba. Tukiangalia zaidi katika Sheria ya Usuluhishi, yaani Arbitration Act, inaangalia zaidi makubaliano ya kibiashara. Sheria hii iko na kifungu kinachosema kwamba iwapo kutakuwa na mzozo au jambo lolote ambalo linaleta utata, utata ule utapelekwa kwa kamati ambayo itasuluhisha kupitia kwa"
}