GET /api/v0.1/hansard/entries/938013/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 938013,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938013/?format=api",
    "text_counter": 161,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "iko sawa. Kuna sehemu ndani ya Lamu County ambazo ukienda zitakusikitisha. Elimu haipo. Kuna jamii ambazo mpaka sasa hazijapata mtu aliyehitimu na shahada ya digrii hata mmoja. Pia, hazina barabara na maji. Tukipewa hizo pesa, wale watakaozishughulikia wamakinike kwa kuwa watawajibika kwa Mwenyezi Mungu. Kwa mfano, kuna pesa ya Equalization Fund zilizopelekwa kwa mradi wa maji unaoitwa Kimangai-Kiunga. Mradi huo haupo. Pesa hizo zilipelekwa kwingine. Watu wa sehemu hizi ni fukara, sio maskini. Maskini ni afadhali. Wale ni fukara; hawana hata chakula ilihali pesa za mradi kama huo zinapotolewa zinapelekwa kwingine. Nilipiga kelele kwa wahusika na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}