GET /api/v0.1/hansard/entries/938014/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 938014,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938014/?format=api",
"text_counter": 162,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "wakasema watapeleka mradi mwingine kule. Mradi huo wa Kimangai-Kiunga sasa haupo kwa watu maskini ambao hawawezi kujitetea. Tulipoenda Kiangwe, hata nguo za kuvaa watu hawana. Ilibidi nimwambie mhudumu mmoja wa ofisi yangu aivue T-Shirt yake amvalishe mtoto aliyekuwa na vazi la aibu lililo chanika. Matatizo yako. Hatutaki kuwa hivo siku zote. Tunataka siku moja, hili tusemalo kuwa sisi ni jamii iliyotengwa lisiwe. Tuinuliwe ili wengine kutoka county zingine waje waangalie makwetu. Hatupendi kujiita hivyo. Kwamba, siku zote tunalalamika tumetengwa. Hatupendi kuitwa hivyo; ni hali zimetuwia tu. Wanaofanya kazi Kiangwe hawatoki Lamu County peke yake. Kuna wafanyikazi kutoka"
}