GET /api/v0.1/hansard/entries/938470/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 938470,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938470/?format=api",
    "text_counter": 368,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kapenguria, JP",
    "speaker_title": "Hon. Samuel Moroto",
    "speaker": {
        "id": 318,
        "legal_name": "Samuel Chumel Moroto",
        "slug": "samuel-moroto"
    },
    "content": " Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi ili pia nichangie Mswada ambao uko mbele yetu. Ninashukuru Mheshimiwa ambaye aliketi na akawaza na akaleta Mswada ambao tunaongea juu yake."
}